Friday, April 30, 2010

Ngoma za asili


Kikundi cha ngoma za asili cha Simba wa Vita wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya kupiga vita ugonjwa wa saratani ya matiti yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Michael Jamson

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUISHI FALSAFA ZA RAIS DKT. SAMIA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuz...