Rais Jakaya Kikwete apokea ujumbe kutoka Misri Posted by Vempin Media Tanzania on April 02, 2010 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe kutoka kwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wa Misri toka kwa Mhe.Profesa Mohamed Nasr El-Deem Allam ambaye ni Waziri wa maji na Umwagiliaji wa Misri ikulu jijini Dar leo asubuhi. Picha Freddy Maro/ Ikulu Comments
Comments