Thursday, April 22, 2010

Kesi ya Miss Tanzania Miriam yafutwa


KESI ya kushambulia na kuharibu mali iliyokuwa inamkabili Miss Tanzania, Miriam Gerard, pamoja na rafiki yake imefutwa na wawili hao pamoja na mtu wanae shitakiana nae sasa watamalizana nje ya mahakama.
Uamuzi huo umefikiwa jana katika Mahakama ya Kinondoni ambako kesi hiyo ilifikishwa mwezi Februari.

4 comments:

Anonymous said...

Wanyange wetu wanatia aibu Huyo jamaa yake KENNEDDY VICTOR ni HB mbaya kwani anabadili wanawake kama nguo alikuwa na Nasreem karimu kisha akajiweka kwa Miriam G.Kisa eti wote watatu wanatokea Mwanza lol aibu zingine hizi!

Njonjo OK said...

I am doing research on blogs and I would like to send u few questions. Can u help? If you are willing please send me your email, because it is not shown in your blog. My email is "njonjo.kweja@gmail.com" I am njonjo mfaume, tutorial assistant at School of Journalism of the University of Dar es Salaam, and MA Journalism student at Makerere University.

mzee wa mshitu said...

Njonjo just send me your questions through charahani@yahoo.com

Anonymous said...

Howdy very cool site!! Man .. Beautiful .. Wonderful .

. I'll bookmark your site and take the feeds additionally? I'm glad to find a lot of helpful info here within the put up, we need develop more techniques
in this regard, thank you for sharing. . . . . .

Here is my homepage: home cellulite treatment