Jk amcheki Mbunge Kimaro Posted by Vempin Media Tanzania on April 25, 2010 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jana asubuhi na Mbunge wa Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro alyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kuugua shinikizo la damu juzi akiwa bungeni mjini Dodoma. (Picha na Freddy Maro) Comments
Comments