Friday, August 21, 2009

Uonapo barabarani ajali imetokea


Ajali ni ajali tu bwana hebu cheki hii gari sijui imekuwaje ikakutwa na mkasa huu ambao hakuna mtu aliyejeruhiwa, lakini ni ajali mbaya iliyotokea katika barabara ya Mandela iliyopo katika ukarabati mkubwa kwa takribani miaka miwili sasa na unakaribia kukamilika sasa.

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...