TIMU YA YANGA KUSAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA WAO UTAKAOWEZA KUINGIZA WATU WATU 40,000 NA KAMPUNI YA BEIJING YA CHINA MWEZI MEI
Hii ndiyo Ramani ya Uwanja Mpya wa Klabu ya Yanga, utakaojengwa na
Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group, ambapo Klabu hiyo
inatarajia kusainia mkataba wa kuanza kwa ujenzi wa uwanja huo, Mwishoni
mwa mwezi Mei mwaka huu.
Francis Kifukwe (kulia) anapewa somo na wataalamu wa Kampuni hiyo
Mazungumzo yakiendelea.......
Mambo
ndivyo yalivyokuwa wakati wa mkutano uliofanyika kwa ajili ya
kuonyeshwa ramani ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Klabu ya Yanga,
uliofanyia leo jijini Dar.
Uwanja mpya wa Yanga utakuwa hivi.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Yanga na kampuni hiyo itakayojenga uwanja huo. Picha zote kwa hisani ya Lenzi ya Michezo.
Comments