Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akutana na Waandishi wa Habari Jijini Dar leo na kuzungumzia swala lenye utata wa Kuchinja hapa nchini
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) aliowaita leo nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es
Salaam,wakati alipozungumzia swala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa
ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.Mzee Mwinyi
ametoa rai kuwa Swala hilo ambalo limekuwa na utata mkubwa na kupelekea
kuzua vurugu kwa baadhi ya maeneo hapa nchini,kuwa liachiwe watu wenye
dharula kama linavyoelekeza kwenye Moja ya Vitabu vya dini.…
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) aliowaita leo nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es
Salaam,wakati alipozungumzia swala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa
ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.Mzee Mwinyi
ametoa rai kuwa Swala hilo ambalo limekuwa na utata mkubwa na kupelekea
kuzua vurugu kwa baadhi ya maeneo hapa nchini,kuwa liachiwe watu wenye
dharula kama linavyoelekeza kwenye Moja ya Vitabu vya dini.
Rais Mstaafu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na
Baadhi ya waandishi wa Habari waliofika nyumbani kwake Mikocheni Jijini
Dar es Salaam leo
Comments