Rais Kikwete, aongoza mamia kumzika Fatma Baraka 'Bi Kidude', katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa jamhuri ya Muungao Dk Jakaya Kikwete akifuatiwa na Rais wa
Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein walipofika Kitumba yalipofanyika maziko
ya Bi Kidude
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania , Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Msanii
mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya
Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif Sharif akiweka udongo katika kaburi la Msanii
mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya
Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiweka udongo katika kaburi la Msanii
mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya
Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said
sadiq akiweka udongo katika kaburi la Msanii mkongwe wa Taarab
Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika makaburi ya Kitumba Wilaya
Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Msanii wa Muziki wa Kizazi
Kipya,Nasibu Abdul Juma (Diamond) akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude)
katika makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo katika kaburi
la Msanii mkongwe wa Taarab Tanzania, Fatma Baraka (Bi Kidude) katika
makaburi ya Kitumba Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Taratibu za Mazishi zikiendelea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(kutoka kulia) Rais wa jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete,Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif,na Makamo
wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,wakiitikia dua baada ya maziko ya
Msanii maarufu Fatma Binti Baraka (kidude) aliyefariki jana na kuzikwa
leo Kijijini kwao Kitumba,Wilaya ya Katri Unguja.
Comments