Friday, April 12, 2013

Majengo mapya ya NHC Mchikichini yalivyo sasa



Majengo ya nyumba za makazi za NHC Mchikichini yakiwa katika hatua mbalimbali za ujenzi, yatakapokamilika yatakaliwa na familia 48, ambapo katika kila nyumba ina vyumba vitatu jiko na choo pamoja na parking ya kutosha. Majengo hayo yote yamenunuliwa na Watanzania wanaosubiri muda wa mwezi mmoja ama miwili kukabidhiwa funguo zao ili waingie ndani.

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...