Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuongoza kuelekea kwenye chakula cha
mchana Naibu Rais mteule wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap
Ruto na mkewe Rachel Chebet katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika
mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara jana. Mhe Ruto alikuwa nchini
kwa mapumziko ya Pasaka.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na familia ya Naibu Rais mteule
wa Kenya Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya
kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.
Mhe Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Rais mteule wa Kenya,
Mhe. William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye
Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara jana. Mhe Ruto
alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Rachel Chebet, mke
wa Naibu Rais mteule wa Kenya, Mhe. William Kipchirchir Samoei arap
Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya
Serengeti mkoani Mara jana. Mhe. Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya
Pasaka.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Rais mteule wa Kenya
Mhe William Kipchirchir Samoei arap Ruto katika hoteli ya kitalii ye
Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara jana. Mhe Ruto
alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.
(PICHA NA IKULU)
Comments