
Questionable Foundation.
Hivi ndivyo palivyo palipokuwa eneo lililoporomoka jengo la ghorofa 16 eneo la City Centre mtaa wa Indira Gandhi kifusi kimeondolewa na maiti zimeondolewa Mungu awarehemu mafundi, watoto, vibarua na wapita njia walioangamia.

. Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha .Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria . Rais Dkt. Samia apendekezwa ...
No comments:
Post a Comment