Majeruhi aliyeokolewa.
Mwili wa mmojawapo wa marehemu.
Wananchi wa eneo hilo wakiwa na simanzi baada ya ajali hiyo.
(Picha zote na www.wavuti.com)
Watu zaidi ya 18 wanahofiwa
kuwa wamepoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ndani ya mgodi
wa Morrum huko Moshono jijini Arusha. Kwa sasa wanajeshi wanaendelea na
zoezi la uokoaji na tayari majeruhi mmoja ameokolewa na miili ya watu
watatu. Tukio hili linatokea ikiwa ni siku siku tatu baada ya maafa
mengine kutokea jijini Dar es Salaam ambapo watu zaidi ya 30 wamepoteza
maisha baada ya jengo la ghorofa 16 kuporomoka. Taarifa zaidi kuwajia
hivi punde.Chanzo: Wavuti
Comments