Wananchi wamwambia Kikwete tunataka shamba letuu


Urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete akiwajibu wananchi wa Mvomero baada ya kuombwa awarejeshee shamba analomiliki Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye alipokuwa kwenye ziara yake kampeni ya uchaguzi mkuu mkoani Morogoro jana. Picha na Edwin Mjwahuzi.

Comments

Anonymous said…
hakuna haja ya kusubiri jibu toka kwa mfisadi, rudisha shamba na kura hatukupi, jamani wazalendo aamkeni msisubiri jibu lake wakati wa uchaguzi, chukueni sheria mikononi mafisadi wanaelewa hiyo lugha!!!