Dk Slaa afunika Bunda Posted by Vempin Media Tanzania on September 13, 2010 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mgombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ),Dk.Willibrod Slaa,akiwahutubia maelfu ya Wananchi wa mji wa Bunda, Kwenye uwanja wa Sabasaba katika mfululizo wa kampeni zake jana.Picha na Joseph Senga Comments emu-three said… Natumai ipo siku nchi yetu itaijua demokrasia ya kweli, na mambo ya kupokezana madaraka vyama kwa vyama itakuwa jambo la kawaida! Anonymous said… Nimeipenda hii Mshitu wewe tupakulie tu hizi news achana na hao ambao wako chama oriented...
Comments