Mzee aliyetambuliwa kwa jina la Mussa Ali akiuza tumbaku katika soko la kijiji cha Nyangao Lindi vijijini. Picha na Elias Msuya
******************************************
Tumbaku ndio inayotumika vibaya ikilinganishwa na madawa mengine. Kuvuta sigara au kiko husababisha magonjwa haya, ugonjwa wa moyo, pigo, ugonjwa wa mapafu, saratani ya koo, kibofu cha mkojo, firigisi n.k
Watu wengi wanaovuta sigara wanajua kuwa ni mbaya kwa afya yao, jaribu kuwacha au usianze kuvuta.
Ukweli kuhusu tumbaku:
Tumbaku huleta saratani yam domo, ulimi, na 80% ya watu wanaovuta sigara walianza wakiwa vijana.
Kampuni za sigara huongeza madini ya ammonia kwa hivyo ubongo hufunikwa na nikotini.
Comments
Wakati mwingine najiuliza kwanini sisi binadamu tunapenda kujiua wenyewe, halafu mwisho wa siku tulalamika..oooh mungu wangu mbona nateseka, mbona siponi, mbona...