Thursday, September 02, 2010

Nyumba ya mwalimu




Nyumba anayoishi mtumishi wa Serikali Mwalimu Domisiana Mpenda wa shule ya Msingi Iyenge iliyopo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Picha na Israel Mgussi.

1 comment:

chib said...

Inasikitisha sana hali hii.

SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufany...