
Mgombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ),Dk.Willibrod Slaa,akiwahutubia maelfu ya Wananchi wa mji wa Bunda, Kwenye uwanja wa Sabasaba katika mfululizo wa kampeni zake jana.Picha na Joseph Senga
Zanzibar, 11 Julai 2025 — Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito wa kitaifa kwa ...
2 comments:
Natumai ipo siku nchi yetu itaijua demokrasia ya kweli, na mambo ya kupokezana madaraka vyama kwa vyama itakuwa jambo la kawaida!
Nimeipenda hii Mshitu wewe tupakulie tu hizi news achana na hao ambao wako chama oriented...
Post a Comment