Tuesday, October 06, 2009

ukame


pichani ni mfugaji Noah Lotokoduaki mkazi wa eneo la Kiranyi wilayani Arumeru akiwa amebeba majani kwa ajili ya ng'ombe wake, wilaya ya Arumeru mkoani Arusha hivi sasa inakabiliwa na ukame.Picha ya Mussa Juma

1 comment:

Christian Bwaya said...

Picha yenyewe sijaiona mkubwa. Marekebisho kidogo hapo?

  Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa am...