Jack Mbando apata jiko Posted by Vempin Media Tanzania on October 11, 2009 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mshikaji Jackson Mbando akiwa na mke wake Martha Mwale mara tu baada ya kumeremeta jioni hii katika Kanisa la Kilutheri la Kijitonyama, Dar es Salaam. Jackson ni Meneja Uhusiano wa Tigo na mkewe yuko Barclays Bank Comments
Comments