Big Brother wetu bado yuko ndani ya nyumba



Mshiriki wa Big Brother Revolution kutoka Tanzania Elizabeth akiwa na Kevin wa Nigeria wakati walipokuwa na kimuhe muhe cha kusubiria nani atatoka ndani ya jumba, bahati yao ni kwamba wote walisevu wakabaki ndani ya jumba na badala yake wakatimuliwa ndani ya jumba hilo Hannington wa Uganda na Yacob kutoka Ethiopia

Comments