Karani katika kituo cha kujiandikisha wapiga kura cha Shule ya Msingi Bunge jijini Dar es Salaam Issa Kipengule akimwongoza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwaaajili ya uchaguzi wa viongozi ngazi ya mtaa.Picha ya Freddy Maro.
Comments