Kazi ya Jeshi kugangamala



Hebu mcheki huyu mdada alivyorusha mguu hewani, hakika kaiva ipasavyo, hii ilikuwa majuzi hapo jirani ya nchi yetu Kenya wakati askari wapya walipopass out hakika wameiva hebu nambie, hapo mwananchi mkaidi utaona ndani. Picha kwa niaba ya gazeti la Nation la Kenya

Comments

Simon Kitururu said…
Najiuliza tu ,sijui wale askari wetu wenye vitambi wanajisikiaje wakimuona askari mkakamavu kama huyu!