Tuesday, April 01, 2008

Rais wa Anjouan Chali



Picha ya aliyekuwa mtawala wa kisiwa cha Anjouan-Comoro, Kanal Mohammed Bacar, ikiwa imegeuzwa kicha juu chini baada ya wanajeshi wa Jeshi la Umoja wa Afrika AU wakiongozwa na wanajeshi wa jeshi la wananchi wa Tanzania(JWTZ) kufanikiwa kumuondoa na kufanikiwa kukimbilia nchini ufaransa.

No comments:

*WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO WIZARA YA MADINI

_⬛Aitaka ifuatilie kampuni zilizoshika maeneo bila kuyaendeleza_ _⬛Aipongeza kampuni ya Huaer International kwa uwekezaji._ _⬛Asisitiza uwek...