
Mbunge wa Kiteto,Mh Benedict Ole Nangoro akila kiapo cha uaminifu bungeni Dodoma jana mjini Dodoma baada ya kushinda uchaguzi katika jimbo jilo hivi karibuni.. Mbunge wa kuteuliwa, Al- Shaymaa Kwegyir akila kiapo kuwa mbunge mbele ya spika wa bunge la jamhuri wa Tanzania, Mh Samwel Sitta,mjini Dodoma jana.Picha Ofisi Ofisi ya Waziri Mkuu

Mbunge wa kuteuliwa, Al- Shaymaa Kwegyir akiapa kuwa mbunge mbele ya spika wa bunge, Samwel Sitta, mjini Dodoma leo
Picha za Edwin Mjwahuzi
1 comment:
Mzee kazi yako imetulia. Huwa napita bila kuacha maoni, ila si vibaya nikifanya hivyo kukutia moyo.
Kazi yako ni njema sana.
Post a Comment