Sunday, August 12, 2007

Mambo ya Lindi hayo



Barabara ya Lindi mjini kuelekea Mtwara ikiwa katika final touches, mambo huku ni mswano, Mdau Hussein Issa alikuwako na ana habari chungu mzima mtafute.

1 comment:

sizinga said...

duh!!nafurahi kuona barabara hii inafikia final touch manake!!imetuadhibu mno,naomba kuuliza,extension ya barabara hiyo kuelekea dar es salaam nayo inafikia final touch au bado miyayusho??

Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo...