Sunday, August 26, 2007

Hivi bendera ya Taifa imekuwaje


Angalia hapo juu unambie kuna kosa gani katika bendera ya taifa

3 comments:

Anonymous said...

Charahani,
Mimi sijaona kosa.Nimeona usahihi tofauti.Labda sasa tuketi chini na kuukubali ukweli na kisha kurudisha lile wazo la nani hii ambalo alipolianzisha miaka ile tulimuona kama mwendawazimu.

Anonymous said...

mzee bendera imegeuzwa hiyo

Simon Kitururu said...

Nakubaliana na anoy kuwa bendera imegeuzwa, ila chakujiuliza ni kuwa, je imegeuzwa makusudi?

Exploring the Depths of History: A Journey into Amboni Caves

  By Our Correspondent, Tanga The air is thick with excitement as students from Alharamain High School in Dar es Salaam and Alfagems Seconda...