Saturday, August 18, 2007

RICHARD BEZUIDENHOUT AKIWA HOMEHapa Mwakilishi wetu Richard akimlisha dadake keki huku mkewe akishuhudia


Richard mwenyewe akiwa katika pozi la kawaida tuu


Richard akuwa na dadake

Katika harakati za harusi yake yuko na dadake pamoja na babake.

Bonyeza hapa utaona mapicha kibao ya familia yao yeye pamoja na dada na babake.