Wednesday, August 01, 2007

Mama anafikiria nini?



Mwana Mama akiwa amekalia mzigo wake wa Makabichi katika kituo cha basi cha Clinic barabara la Makongoro jijini Mwanza jana. Abiria wengi wanalalamikia kutokuwepo kwa vibanda vya kupumzikia wakati wanasubili usafi na shida kubwa inakuwa kipindi cha mvua. Picha hii imepigwa na Edwin Mjwahuzi

1 comment:

Anonymous said...

Bwana Charahani,

Nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Hongera sana.

Huwa napita kimya kimya. Nadhani si miye pekee yangu ninayepita kimya kimya.

Masalaamia, ni miye maridhiya,

F MtiMkubwa Tungaraza.

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...