Tuesday, December 12, 2006

Vimbwete

Hapa washikaji wa Chuo Kikuu cha New York wakipiga buku ni katika bustani ya Washington Square, staili yao ni almost sawa na yetu pale University of Dar es Salaam wakikalia vijiwe maarufu kama vimbwete waweza pia kuwapata katika zipo opportunities kibao na ninasikia wanataka kufungua tawi bongo.

3 comments:

MICHUZI BLOG said...

mzee wa mshitu!

asante na hongera kwa kazi nzuri. kiwinta vipi huko? sie huku aaaa... kama kawa. sama ya mwaka mzima, na umeme umerudi. mie leo ya sita sijakatiwa, ingawa richmond bado wanazuga

ARAWAY Media Tanzania said...

Poa kaka huku kiwinta kipo cha wastani hakuna noma sana. Tunakupata vyema sana huku kila mmoja kila uchao anauliza vipi michuzi anasemaje katika mtandao wake. Huraa mzee hongera endelea kutupa mamboz. Aiseee itakuwa poa sana kama umeme umerudi maana mgawo nomaaa.

Darren Demers said...

Hapa washikaji wa Chuo Kikuu cha New York wakipiga buku ni katika bustani ya Washington Square, staili yao ni almost sawa na yetu pale University of Dar es Salaam wakikalia vijiwe maarufu kama vimbwete waweza pia kuwapata katika zipo opportunities kibao na ninasikia wanataka kufungua tawi bongo.
web design and development vancouver ,
wordpress development vancouver ,

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...