
Balozi Augustine Mahiga, Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza na Naibu wake, Tuvako Manongi, nyumbani kwake Mt. Vernon, New York.
📌 *Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS* 📌 *Awamu ya pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.* *📌A...
2 comments:
Hivi ni nini kinachomfanya mtu awe balozi wa kudumu?
Kaka permanence iko katika ofisi siyo katika individual hivyo balozi anaitwa wa kudumu kwasababu tu ofisi ni ya kudumu na si vinginevyo kaka, anyway mambo zaidi vipi kaka??
Post a Comment