Rafiki arejea toka Marekani

Pichani ni rafiki yangu Mayunga Ntangalo, Mtanzania aliyeishi miaka zaidi ya saba anazo stori nyingi saana za kusimulia wabongo. Ni mtunzi wa vitabu anasifika Marekani kwa novel yake maarufu, Odd Scratches ambayo inauzwa katika maduka mbalimbali na hata kati Ebay na Amazon na ni mwalimu, mtafute.

Comments

Ndesanjo Macha said…
Mzee wa Mashitu,
Natafuta anuani pepe ya Mayunga.
Ndesanjo anuani ya huyu jamaa sina ila anaweza kupatikana amekumbwa na masahibu makubwa sana huko ughaibuni naweza nikakupa details sitaki kuziweka hapa.