Kituo Kipya cha televisheni Posted by Vempin Media Tanzania on December 13, 2006 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps hili ni bango la kituo kipya cha televisheni cha Marekani kinachoifagilia Afrika, humo ni Isidingo, bongo music na kadhalika. Kituo kina makao makuu yake Los Angeles hapa Marekani na kitaanza kurusha matangazo hivi karibuni, stay in touch. Comments
Comments