Mnara huu uko karibu kabisa na CNN



Ipo minara mingi hapa jijini, lakini huu unasababu yake kubwa kuwekwa humu, nayo ni kwamba upo karibu na makao makuu ya CNN.

Comments

Anonymous said…
wewe uko mji gani?
nipo New York hapa Manhattan lakini wiki ijayo ntakuwa bongo