Monday, January 26, 2026

DKT. MWIGULU AELEKEA MOROGORO KUFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA TAKUKURU





WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.

No comments:

DKT. MWIGULU AELEKEA MOROGORO KUFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA TAKUKURU

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo a...