BODI YA WAKURUGENZI NHC YATEMBELEA MIRADI MBALI MBALI MIKOA YA MOROGORO NA DODOMA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa Haikamen Mlekio wakati Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, Kulia kwa Mkurugenzi Mlekio na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa Haikamen Mlekio akizungumza na vyombo vya habari wakati Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro a Dodoma jana,  ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mchechu akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mtradi wa Kongwa mbele ya Timu ya Bodi ya Wakurugenzi wa NHC ilipotembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa jana.

Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ikifuatilia kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa NHC  Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif kuhusu mradi wa nyumba za gharama nafuu Mvomero wakati timu hiyo ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,

 Mojawapo ya nyumba za gharama nafuu Mvomero, nyumba zote 42 zimekamilika na zimenunuliwa na wateja mbalimbali,
 Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ikifuatilia kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa NHC  Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif kuhusu mradi wa nyumba za gharama nafuu Mvomero wakati timu hiyo ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,
 Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ikifuatilia kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa NHC  Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif kuhusu mradi wa  jengo la Biashara 2D Morogoro wakati timu hiyo ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,

 Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Joseph John akiwatambulisha wafanyakazi wa NHC kwa  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni wakati timu hiyo ilipotembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Iyumbu Sattelite Centre Dodoma.
   Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa Haikamen Mlekio wakati Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ilipokuwa ikitembelea mradi wa Iyumbu Sattelite Cenre Dodoma Timu hiyo ilitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, Kulia kwa Mkurugenzi Mlekio na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha leo,

Comments