Wednesday, May 03, 2017

BODI YA WAKURUGENZI NHC YATEMBELEA MIRADI MBALI MBALI MIKOA YA MOROGORO NA DODOMA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif, wakati Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma, Kulia kwa Mkurugenzi Mlekio na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, ziara hiyo iliendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiwasili kwenye mradi wa Jengo la Biashara wa 2D Morogoro akiongozwa na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif.
 Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Kesogukewele Msita na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni wakikagua kitu kwenye mradi wa Jengo la Biashara wa 2D Morogoro,

  
 Picha ya pamoja na Wafanyakazi wa NHC Morogoro
  Jengo la Biashara la NHC 2D Morogoro
  Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa NHC Morogoro wakati timu ilipotembelea shamba la Magereza ambapo NHC ipo kwenye mazungumzo na Magereza kwaajili ya uendelezaji wa eneo hilo.
 Eneo la Magereza
 Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ikifuatilia kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa NHC  Mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif kuhusu mradi wa nyumba za gharama nafuu Mvomero wakati timu hiyo ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akielekeza jambo  wakati timu hiyo ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma 
 Nyumba za gharama nafuu Mvomero zinavyoneekana kwa picha ya angani, nyumba zote 42 zimekamilika na zimenunuliwa na wateja mbalimbali.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mchechu akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mtradi wa Kongwa mbele ya Timu ya Bodi ya Wakurugenzi wa NHC ilipotembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa. 
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mchechu akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mtradi wa Kongwa mbele ya Timu ya Bodi ya Wakurugenzi wa NHC ilipotembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa
 

  Mjumbe wa Bodi Kesogukewele Msita akisisitiza jambo wakati timu hiyo ilipokuwa NHC Kongwa, DOdoma
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mchechu akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mtradi wa Kongwa mbele ya Timu ya Bodi ya Wakurugenzi wa NHC ilipotembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kongwa jana.

   Mjumbe wa Bodi Kesogukewele Msita akifurahia jambo alipokutana tena na Hassan Bendera wa NHC Dodoma wakati timu hiyo ilipokuwa NHC Iyumbu, DOdoma.

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa Haikamen Mlekio wakati Timu hiyo ya Bodi ya Wakurugenzi ilipokuwa ikitembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa nyumba ya NHC iliyopo katika mikoa ya Morogoro na Dodoma jana, Kulia kwa Mkurugenzi Mlekio na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, ziara hiyo inaendelea katika mikoa ya Singida, Manyara na Arusha 
 Picha ya pamoja Iyumbu Dodoma

Picha za angani za nyumba za Iyumbu Dodoma
Post a Comment