KUJIUZULU: Rais Magufuli ameridhia kujiuzulu kwa viongozi wafuatao; RC Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, majaji wa Mahakama Kuu, Aloysius Mujulizi na Upendo Msuya.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadick.
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania & M/kiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Aloysius Mujulizi.
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania, Pendo Hillary Msuya.
Comments