Friday, December 09, 2016

RAIS MAGUFULI ALIVYOONYESHA UKAKAMAVU BAADA YA KUKAGUA GWARIDE


December 9 2016 zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara ikiwa ni ya kwanza chini ya Rais Magufuli ambapo aliwasili kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam kwa ajili ya sherehe hizo na alipata nafasi ya kukagua gwaride na baada ya kumaliza na yeye akaonyesha kutembea mwendo wa ukakamavu.

No comments:

WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA

  MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara...