Wananchi wa Ziba Igunga Mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea wa ccm Dk Dalaly Peter Kafumu kwenye mkutano wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga. picha na Fidelis Felix
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa baada ya kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Pius Tibazarwa na ...
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Baraza hilo lenye mchanganyiko wa fani mbalimbali limepunguzwa ukubwa kutokawizara 29 hadi 26 na manaibu waziri wakitoka 31 hadi 21. Akitangaza baraza hilo mjini hapa jana, Rais Jakaya Kikwete alisema wizara zingine zimeunganishwa na kuundwa mpya kulingana na mahitaji ya wakati. Walioteuliwa ni Sophia Simba -Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais(Utawala bora), Hawa Ghasia-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi Umma), Muhammed Seif Khatib -Waziri Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Dk Batilda-SalhaBuriani- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Philip Marmo- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge), Stephen Wassira- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), , Celina Kombani- NaibuWaziri Tamisemi, Mustafa Mkullo- Waziri wa Mipango na Fedha, Jeremiah Sumari- Naibu Waziri Mipango na Fedha, OmariYusuf Mzee_ Naibu Waz...
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU Bofya hapa kuangalia matokeo
Comments