Wakuu wa mikoa wapishwa

Daniel Ole Njoolay na Stella Manyanya
Rais Kikwete akimkabidhi buku Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa
Rais Kikwete akimkabidhi buku Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro

Picha ya Rais Kikwete pamoja na wakuu wa mikoa ya Tanzania bara


RAIS Jakaya Kikwete jana aliwaapisha wakuu wa mikoa 21 huku kila mmoja akieleza namna alivyopata mstuko kufuatia uteuzi huo.
Wakuu wa mikoa walioapishwa

Wakuu wa mikoa walioapishwa ni mikoa yao kwenye mabano ni Mwantumu Mahiza (Pwani), Ludovick Mwananzila (Shinyanga) na Joel Bendera (Morogoro).

Wengine ni Parseko Kone (Singida), John Tupa (Mara), Said Mwambungu (Ruvuma), Chiku Galawa (Tanga), Leonidas Gama (Kilimanjaro) na Dk Rehema Nchimbi (Dodoma)

Wengine walioapishwa ni Erasto Mbwilo (Manyara), Kanali Fabian Massawe (Kagera), Fatuma Mwasa (Tabora), Ali Rufunga (Lindi), Ernest Ndikilo (Mwanza) na Magesa Mulongo (Arusha).

Wengine ni Abbas Kandoro (Mbeya) Issa Machibya (Kigoma), Joseph Simbakalia (Mtwara).

Comments