Saturday, September 11, 2010

TIGO wazindua huduma yao ya Tigo Pesa kwa kishindo Coco Beach

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Joe Makini akikamua jioni ya leo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo iitwayo Tigo Pesa ndani ya Coco Beach jijini Dar ambao maelfu ya watu walijitokeza kushuhudia uzinduzi huo uliofana kwa kiasi kikubwa.

Maelfu ya watu kutoka vitongoji mbalimbali vya jiji la Dar jioni ya leo

Mwanamuziki machachari Dully Sykes akiwaimbisha watazamaji wimbo wake wa Shikide jioni ya leo Picha na habari zaidi

http://michuzijr.blogspot.com/2010/09/tigo-wazindua-huduma-yao-ya-tigo-pesa.html

1 comment:

Anonymous said...

Tunataka habari za siasa TIGO ndo nini?

Au htaki tufungue blog yako?

RAIS DKT. MWINYI: TUWALEE VIJANA KATIKA MAADILI, TUDUMISHE AMANI KUELEKEA UCHAGUZI

Zanzibar, 11 Julai 2025 — Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito wa kitaifa kwa ...