Tuesday, September 21, 2010

Rage Hoyeeee, ndivyo anavyoonekana kusema Dk Bilal


Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Tabora mjini, Aden Ismail Rage, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwrnye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana Sept 21.

2 comments:

malkiory said...

CCM sijui inaelekea wapi! mwogope kama kama ukoma mtu aliyekanyaga mahakama kwa sababu ya matumizi mabaya ya fedha za umma au za taasisi. Watanzania mbona tunasau kirahisi kuhusu past events?

Hata hivyo siwezi shangaa sana kwani, ni juzi Kikweti akimnadi Fisadi mkuu eti jembe la zamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

hii inaonyesha kabisa ufisadi wa sisiemu, jamaa zangu tabora kumchagua huyu jamaa rage ni kama vile kumkaribisha kicheche katika banda la kuku tunajua matokeo yake. msomali wa dom samater yussuf

TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na vion...