Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa
msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa
Tabata Bima jijjini Dar es salaam.
(PICHA NA IKULU)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa
msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Tabata Bima jijjini Dar
es salaam leo ambako walienda kutoa pole.
Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa
filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima
jijjini Dar es salaam Januari 4, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa
msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ nyumbani kwao wafiwa
Tabata Bima jijjini Dar es salaam.















Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa
Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha akiwa na wabunge wa Chadema,
Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) baada
ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na wabunge hao katika
Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni.














