Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso, Wilaya ya Masasi, akiwa ziarani mkoani Mtwara, leo tarehe 12 Novemba 2026.
Makamu wa Rais pamoja na familia, Viongozi wa Dini pamoja na Viongozi wa Serikali wamefanya maombi katika kaburi hilo pamoja na kuweka shada la maua.



.jpeg)

No comments:
Post a Comment