Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo tarehe 15 Novemba 2026 amezungumza na wananchi wa Ngurukuru Wilaya ya Kilwa, akiwa ziarani mkoani Lindi.
Makamu wa Rais, amewahakikishia wananchi wa Kilwa, kwamba Serikali itaendelea na jitihada za kuboresha maisha ya wananchi kwa kuimarisha huduma za kijamii na miundombinu ili waweze kufanya shughuli za uzalishaji kwa ufanisi.








No comments:
Post a Comment