Thursday, December 12, 2024

WADAU WASHIRIKI HAFLA YA TUZO ZA VINARA WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YA WILDAF NA MKUKI

 

………….. 

Hafla ya tuzo za vinara wa kupinga ukatili wa kijinsia ambao huandaliwa na WILDAF na MKUKI kila baada baada ya kuhitimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia imefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa serikali,wadau mbalimbali wa harakati za kupinga ukatili wa kijinsia,Mabalozi na viongozi wa taasisi mbalimbali.

Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini,Georgia  Mutagahywa, akiambatana na wadau wengine kumkabidhi tuzo kiongozi wa kimila wa Kimasai kutoka Ngorongoro Lengumo Permiria ambaye pia aliibuka kidedea.

5.Mwakilishi wa Taifa Gas,Joseph Nzumbi akikabidhi zawadi ya jiko kwa mmoja wa washindi Mratibu wa dawati la jinsia Jeshi la Polisi Dodoma Faidha Yusuph.Kampuni hiyo ilikuwa pia iliungana na wadau wote kwenye mapambano hayo mwaka

Baadhi ya washindi wakionyesha tuzo zao wakati wa hafla hiyo.

Washindi  wa tuzo hizo katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika picha ya pamoja

No comments:

MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA

Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...