Saturday, December 14, 2024

UFAFANUZI ATCL NA TRENI YA SGR


1. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) lipo katika mchakato wa kuanza safari za Ulaya. HUKO SIO KUZUIWA!

2. Serikali haijanunua na haina mpango wa kuanza kununua vichwa vya treni za SGR vya kutumia mafuta ya dizeli. Tunanunua vya umeme, haturudi nyuma.

 *Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa*

No comments:

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...