Kaimu
Mkurugenzi wa Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha BoT, Ms Nangi Massawe,
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha maalum kwa watoa huduma za
kifedha, iliyofanyika leo Disemba 10, 2024.
Kaimu
Meneja wa kumlinda mtumiaji wa Huduma za Fedha, Idara ya Ulinzi wa
Watumiaji wa Fedha, BoT, Dkt. Khadija Kishimba, akifafanua jambo
alipokuwa akizungumza katika Warsha hiyo, iliyofanyika katika Ofii za
BoT Jijini Dar es Salaam.
Meneja Msaidizi Idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za Kifedha, Benki Kuu ya Tnzania BoT, Violet Luhanjo, akizungumza katika warsha hiyo.
Meneja Msaidizi Idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za Kifedha, Benki Kuu ya Tnzania BoT, Violet Luhanjo, akizungumza katika warsha hiyo.

No comments:
Post a Comment