Friday, December 20, 2024

WADAU MBALIMBALI WAJUMUIKA PAMOJA KATIKA UZINDUZI WA TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI MAUNT MERU ARUSHA

 

Wageni mbalimbali tayari wamewasili katika Hoteli ya Mt. Meru Arusha kushuhudia tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Tuzo za Uhifadhi na Utalii leo Disemba 20, 2024.

Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.










 

No comments:

PPAA yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

  Na Mwandishi wetu, Dar Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malal...