RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi
na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku
Profesa Nehemiah Eliakim Osoro cheti cha pongezi na shukrani katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku
Mwenyekiti wa Kamati ya Kwanza ya Makinikia Profesa Abdulkarim Mruma
cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini
Dar es salaam Oktoba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku
Mama Fatuma Ndugai ambaye ni Mke wa Spika Mhe. Job Ndugai cheti cha
pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es
salaam Oktoba 23, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Katibu wa Bunge Mhe. Stephen Kagaigai baada ya kumtunuku Spika
Job Ndugai (kupitia kwa mkewe Mama Fatuma Ndugai) cheti cha pongezi na
shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha
pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es
salaam Oktoba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtunuku Profesa Frolens Luoga cheti cha pongezi na shukrani katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
baada ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati
Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini
katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya kumbukumbu baada kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani
kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu
Rasilimali za madini nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar
es salaam Oktoba 23, 2017.
Mhe
Mussa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa kamati Maalumu ya Bunge ya kuchunguza
mfumo bora wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa biashara ya
Madini ya Almasi wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano
kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla kutunuku vyeti vya
pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na
Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu
jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Ally akiongea katika hafla
kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za
Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini
iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Mwenyekiti
wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya
pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na
Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu
jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa UDP Mhe John Cheyo katika hafla kutunuku
vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi
na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu
jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akiongea
katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa
Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini
nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald
Mengi na wageni wengine kupata chakula cha mchana baada ya hafla
kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za
Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini
iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.
Gavana wa Benki Kuu mteule Profesa Frolens Luoga
PICHA NA IKULU
Comments